CHEMICHEMI
CARNIVAL SEPTEMBA 9 – 10; 2017
Kampuni ya Zechy Africa imeandaa Tamasha la Chemichemi katika
kushehekea utamaduni wa mtanzania. Tamasha la Chemichemi litakuwa linafanyika
mara mbili (2) kwa mwaka. Chemichemi itafanyika katika kijiji cha Makumbusho ,Kijitonyama
jijini. Dar es Salaam.
Tamasha la Chemichemi linatarajia kuzibwa ombwi katika
kusherehekea utamaduni wa Mtazania. Kuna matamasha mengi nchini lakini mangapi
yanalenga kusheherehekea utamaduni wetu. Kutokana na utandawazi na mwenendo wa
maisha watanzania wanaoshi mijini wengi wao hawana ukaribu na vijijini
wanakotoka, na hili limefanya vijana wengi wa sasa kuwa na maana hasi kuhusu
utamaduni bila kutambua wao pia wanatengeneza muundo mpya wa utamaduni (kizazi
cha Whatsup na Instagram). Tamasha la Chemichemi linaleta wote pamoja katika
shangwe lakini kuonyesha fursa zakukuwa kiuchumi kupitia sanaa kwa wadau.
Katika tamasha la Chemichemi kutakuwa na warsha ndogo kwa
wajasiriamali na wadau wa sanaa katika kuwaelemisha juu ya umuhimu wa kuingeza
thamani katika shughuli zao na usimamizi wa fedha yote katika kuhakikisha fursa
zilizopo basi mtu ajue anaweza kuboresha kipato na hivyo maisha yake
Tamasha
la Chemichemi ni sehemu ya kivutio kwa jiji la Dar es Salaam, litajumuisha
maonyesho, burudani toka vikundi na wadau mbalimbali wa sanaa, vyakula,
cultural parade, Mashindano ya mitindo kwa washiriki (kila takae kuja anaombwa
kuwa amevalia vazi la asili).
Tamasha la Chemichemi halina kiingilio. Tunaomba vikundi na
wadau kutumia fursa hii adhimu kwa kuhukua nafasi mapema.
Kuhusu Zechy Africa:
ZECHY Africa ni kampuni ya masoko inayojishughuiisha na
ushauri na mikakati yenye tija kwa wateja wake katika kunufaika na fursa
zinazojitokeza
Kwa Mawasiliano:
Mobile: 0754 280 491 / 0787 677
602 / 0655 550066
PRESS RELEASE
CHEMICHEMI
CARNIVAL SEPTEMBER 9 – 10; 2017
Zechy Africa is organizing Chemichemi Carnival a bi - annual
cultural event to be hosted at Makumbusho Village, Kijitonyama. Dar es Salaam.
Chemichemi Carnival is aimed at promoting cultural awareness yet
serve as a tourist attraction/invitation in itself. With much advancement in 21st
century city dwellers have less time to interlink with their heritage. We
believe ChemiChemi Carnival will positively celebrate Tanzania’s diverse
cultural heritage yet unearthing varied avenues for economic gains for
participants and many crafts men and women.
As well as, capacity building by bringing on board participants
from communities with capacities to exploit tourism opportunities, for jobs and
income.
ChemiChemi
Carnival will be a multiple element event featuring tourism, cultural parade, Expo and leisure/ entertainment.
The first edition of the festival is scheduled for September 09
– 10,2017 at Makumbusho Village Museum. Dar es Salaam.
The Carnival will not have an entrance fee; free for all. We
are calling upon dance troupes and all cultural stakeholders to make early
booking.
Mrs Lena Kimani, Event Coordinator addressing media |
About Zechy:
ZECHY Africa a local agency specializing in marketing. Zechy
Africa works with enlightened, forward-thinking corporate and NGOs in building
marketing strategies that create visibility, awareness, and differentiation.
Kwa Mawasiliano:
Mobile: 0754 280 491 / 0787 677
602 / 0655 550066