Friday, 4 August 2017

Chemichemi Carnival 2017

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

CHEMICHEMI CARNIVAL SEPTEMBA 9 – 10; 2017



Kampuni ya Zechy Africa imeandaa Tamasha la Chemichemi katika kushehekea utamaduni wa mtanzania. Tamasha la Chemichemi litakuwa linafanyika mara mbili (2) kwa mwaka. Chemichemi itafanyika katika kijiji cha Makumbusho ,Kijitonyama jijini. Dar es Salaam.

Tamasha la Chemichemi linatarajia kuzibwa ombwi katika kusherehekea utamaduni wa Mtazania. Kuna matamasha mengi nchini lakini mangapi yanalenga kusheherehekea utamaduni wetu. Kutokana na utandawazi na mwenendo wa maisha watanzania wanaoshi mijini wengi wao hawana ukaribu na vijijini wanakotoka, na hili limefanya vijana wengi wa sasa kuwa na maana hasi kuhusu utamaduni bila kutambua wao pia wanatengeneza muundo mpya wa utamaduni (kizazi cha Whatsup na Instagram). Tamasha la Chemichemi linaleta wote pamoja katika shangwe lakini kuonyesha fursa zakukuwa kiuchumi kupitia sanaa kwa wadau.

Katika tamasha la Chemichemi kutakuwa na warsha ndogo kwa wajasiriamali na wadau wa sanaa katika kuwaelemisha juu ya umuhimu wa kuingeza thamani katika shughuli zao na usimamizi wa fedha yote katika kuhakikisha fursa zilizopo basi mtu ajue anaweza kuboresha kipato na hivyo maisha yake

Tamasha la Chemichemi ni sehemu ya kivutio kwa jiji la Dar es Salaam, litajumuisha maonyesho, burudani toka vikundi na wadau mbalimbali wa sanaa, vyakula, cultural parade, Mashindano ya mitindo kwa washiriki (kila takae kuja anaombwa kuwa amevalia vazi la asili).


Tamasha la Chemichemi halina kiingilio. Tunaomba vikundi na wadau kutumia fursa hii adhimu kwa kuhukua nafasi mapema.


Kuhusu Zechy Africa:
ZECHY Africa ni kampuni ya masoko inayojishughuiisha na ushauri na mikakati yenye tija kwa wateja wake katika kunufaika na fursa zinazojitokeza

Kwa Mawasiliano:
Mobile: 0754 280 491 / 0787 677 602 / 0655 550066


PRESS RELEASE

CHEMICHEMI CARNIVAL SEPTEMBER 9 – 10; 2017



Zechy Africa is organizing Chemichemi Carnival a bi - annual cultural event to be hosted at Makumbusho Village, Kijitonyama. Dar es Salaam.

Chemichemi Carnival is aimed at promoting cultural awareness yet serve as a tourist attraction/invitation in itself. With much advancement in 21st century city dwellers have less time to interlink with their heritage. We believe ChemiChemi Carnival will positively celebrate Tanzania’s diverse cultural heritage yet unearthing varied avenues for economic gains for participants and many crafts men and women.

As well as, capacity building by bringing on board participants from communities with capacities to exploit tourism opportunities, for jobs and income.
 
ChemiChemi Carnival will be a multiple element event featuring tourism, cultural parade, Expo and leisure/ entertainment.

The first edition of the festival is scheduled for September 09 – 10,2017 at Makumbusho Village Museum. Dar es Salaam.

The Carnival will not have an entrance fee; free for all. We are calling upon dance troupes and all cultural stakeholders to make early booking.

Mrs Lena Kimani, Event Coordinator addressing media

About Zechy:
ZECHY Africa a local agency specializing in marketing. Zechy Africa works with enlightened, forward-thinking corporate and NGOs in building marketing strategies that create visibility, awareness, and differentiation.

Kwa Mawasiliano:
Mobile: 0754 280 491 / 0787 677 602 / 0655 550066




No comments: