Monday 31 July 2017

Automart - Monthly Come Sell Come Buy

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Makutano ya Wauzaji na Wanunuzi wa Magari yapata Fursa Mpya

Kwa mara ya nne sasa Automart inawaletea mbadala sahihi wa kutimiza mahitaji yako yote ya magari. Kila Jumapili ya mwisho wa mwezi wauzaji na wanunuzi wa magari watakutana katika mazingira rafiki.
Makutano  haya baina ya wateja kwa wateja na wanunuzi na wateja;yatafanyika katika viwanja vya Coco Mihogo, Dar es Salaam.


 Tarehe 20 Machi 2016 kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 11 Jioni.

Makutano  haya yameandaliwa kuwapa fursa wanunuzi na wauzaji wa magari binafsi na makampuni tofauti fursa ya kuwa na sehemu moja kwa mahitaji yote. Pamoja na hayo tunaalika huduma shirikishi zikijumlisha kampuni za bima, taasisi za fedha wanao toa mikopo ya magari, Vilainishi vya magari na Kliniki za magari kutoa huduma.



Kwa mtu yeyote anae hitaji kuuza gari lake atachangia Shilingi elfu 50 tu. Ikiwa ni mchango wakuweka gari lake katika viwanja vya Automart na kufaidika na kuwekwa katika mtandao wa jamii (facebook) nakufanyiwa promotion kwa mwezi. 




KWA MAWASILIANO

SIMU 0655 55 00 66 BARUA PEPE: automart@autofest.co.tz  

No comments: